Karibu katika ukurasa wa Sara Julius Mpanda mgombea wa kiti cha makamu wa rais katika serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu Ardhi (ARUSO).
Katika ukurasa huu utaweza kuona vipaumbele vya mgombea katika mwaka wa masomo 2024/25 na pia kuuliza swali katika nyanja ambayo hujapata ufafanuzi vizuri.